Viatu vipya vya wadada

Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vya kufunika vipo virefu sana, vyenye urefu wa wastani na vifupi kabisa.

Mara nyingine haviwi vya ngozi kabisa bali ni kama vina plastiki na pia vingine huwa na uwazi mdogo kwa mbele. Viatu virefu zaidi mara hupendeza zaidi kuvaliwa kwenye sherehe na kanisani.

Unaweza kuvaa kazini kama kazi yako haikulazimu kutembea tembea maana vitachosha miguu yako na kupunguza ufanisi. Viatu vyenye urefu wa wastani unaweza kuvaa popote iwe kazini, kanisani, kwenye sherehe n.

Viatu vya chini kabisa vinakuwa vyenye matumizi zaidi wakati unamatembezi mengi. Havifai sana kuvaa kwenye sherehe za usiku hasa kama unavaa nguo maalumu ya usiku. Vinafaa sana kwa mjamzito hasa katika miezi ya mwisho. Viatu hivi vinapendeza kuvaliwa na nguo yoyote ila ikiwa ya urefu wa wastani ni nzuri zaidi maana huwezesha kuonekana urembo na uzuri wote wa kiatu. Viatu hivi vipo vya aina tofauti tofauti na vinafaa sana kuvaliwa kwa matembezi ya jioni, wakati wa safari ndefu, wakati ukiwa na mizunguko mingi na pia hata kazini au kanisani pale unapokuwa umevaa nguo za kawaida casual.

Havivutii sana kuvaliwa na suti au nguo ya usiku. Pia mara nyingi viatu vya chini hupendezea kuvaliwa na nguo ndefu hasa casual na viatu virefu hupendeza zaidi kwa nguo yenye urefu wa wastani.

Hivi ni viatu ambavyo vinavaliwa wakati wa kazi maalumu kama wakati wa kazi za mashambani, mgodini, wakati wa michezo au wakati wa baridi kali. Ni vyema na inapendeza kama unauwezo uwe na viatu vya aina mbalimbali angalau aina tatu. Mfano viatu vyeusi vya urefu wa wastani, viatu vya usiku vya wazi, viatu vya chini vya kufunika na vya wazi.

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account.KUKOSA kwenda katika shule ya upili baada ya kukamilisha elimu yake ya Darasa la Nane hakukumzuia kupiga hatua katika hali ya kusaka maisha ya kila siku na sasa anapata riziki yake kwa kushona viatu Pwani.

Daniel Mutua, mzaliwa wa Kaunti ya Kitui katika kijiji cha Mbitini, mwenye zaidi ya miaka 45 alishindwa kuendelea na elimu ya Shule ya Upili kwa sababu ya shida za kifamilia. Alikamilisha elimu yake ya msingi mwaka na baadaye akafululiza hadi mkoa wa pwani eneo la Changamwe alikoanza kazi ya upigaji picha mtaani.

Alifanya upigaji picha kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kubadilisha mawazo na kuanza kazi ya ushonaji viatu, kazi aliyokuwa akifanya akiwa shule kwa ajili ya kutafuta riziki alipokuwa kijijini Mbitini.

Ilipofika mwakaDaniel alianza rasmi kazi ya ushonaji viatu vipya katika eneo la Chaani muhususi kwa ajili ya watoto wa shule. Alipendelea kufanya kazi hiyo Mombasa kwa kuwa wazazi wake walikuwa wakiishi hapa na kwa sababu mazingira ya kijijini Mbitini hayakuwa rafiki kwa kazi yake ikizingatiwa kwamba watoto wengi katika maeneo ya vijijini hawavalii viatu. Licha ya kuwa na uzoefu wa siku nyingi wa kushona viatu ilimchukua muda mrefu kupata mtaji wa kuanzisha kazi hiyo.

Alipofika mjini Mombasa, anasema kuwa kazi hiyo aliianza na mtaji wa Sh na kwa sasa inampatia kipato kikubwa kinachokimu mahitaji yake ya kila siku. Shida zingine anazopitia ni ukosefu wa malighafi ya kutengenezea viatu ikiwemo ngozi, vipini vya kufungia viatu ambavyo mara nyingi hukwamisha kazi yake na kukosa kutimiza ahadi anazowapatia wateja wake kupata viatu kwa wakati walioagana. Alisema kuwa wateja wengine huweka oda na baadaye wakakosa kurudi hali anayosema kwamba huwa inampatia hasara kwa kuwa viatu hivyo vitakaa bila kupata mnunuzi.

Anasema kuwa kazi yake hunoga wakati wa shule zikifunguliwa kwa kuwa walengwa wakuu kwenye biashara yake ni wanafunzi, msimu wa shule huvuna donge nono kati ya Sh1, hadi Sh3, kwa siku.

Aliambia Akilimali kwamba biashara ikiwa chini huweza kupata kipato cha Sh45, na 90, kwa mwezi, amesema kuwa kazi hiyo imeweza kusomesha watoto wake katika shule ya upili na kujenga nyumba.

Anasema kuwa shule zinapofungwa huwa kazi yake inaenda chini sana kiasi kwamba mahitaji yake mengi hukwama kutokana na kukosekana wateja. Aidha Daniel anatoa wito kwa vijana kuacha kuzembea mitaani na kutembea kwenye makampuni kutafuta ajira na wajitolee kufanya kazi ndogo ndogo za mkono akisema zitaweza kuwafungulia milango ya riziki. Toggle navigation. Jan 09, 1. Changamoto Licha ya kuwa na uzoefu wa siku nyingi wa kushona viatu ilimchukua muda mrefu kupata mtaji wa kuanzisha kazi hiyo.

Wateja wake Anasema kuwa kazi yake hunoga wakati wa shule zikifunguliwa kwa kuwa walengwa wakuu kwenye biashara yake ni wanafunzi, msimu wa shule huvuna donge nono kati ya Sh1, hadi Sh3, kwa siku. Habari zinazohusiana na hii. Apr 02, Mar 28, Mar 26, Mar 24, Mar 22, Mar 19, Mar 05, Feb 25, Feb 24, 1. Feb 24, Feb 13, Feb 06, Leave a Reply Cancel reply Comment.Post a Comment. Powered By Blogger Widgets.

Fahamu yanayojili ulimwenguni! KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidoooogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo mazuri ya kiafrika waliyojaaliwa.

viatu vipya vya wadada

Hebu nawe bishost angalia kwa makini haya mavazi yaliyoshonwa kwa kitenge uvae upendeze jaman eeeh!!! Aina ya mshono juu yangu, mashono na bei yake juu yakoooo!!! Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home.

viatu vipya vya wadada

Subscribe to: Post Comments Atom. Receive all updates via Facebook. NI MELI kubwa kuliko zote katika historia ya kutengenezwa duniani iitwayo Oasis of the seas, yenye uzito wa tanina urefu wa Mtindo huu wa ususi ukiangalia vizuri, kwa mbele usoni ni aina nyingine ya ususi, siyo kama zile rasta tulizozizowea kusuka m Tufuate kwa Barua pepe E-mail. Powered by Blogger. International Calendar. CCM Blog. Chadema Blog. Bongo Blogs - Blog ya Taifa. Millard Ayo — Official Website.

TV1 Your No. Design by FThemes Blogger Theme by Lasantha - Distributed by: free blogger template girly free blogger templates elegant best vpn download free best vpn whirlpool. Dar es Salaam.Welcome to download our app playstore actuality My baby Celebs are blessed and alveolate tap it never dies off. And these canicula tailors acquired accept been able their adeptness to adeptness by designing amazing styles for every African woman to rock, and feel confident. Malizia your weekend with fun with African prints.

Getting it can be a lot of accomplishment brash. And fashenista. Mishono hii waweza kudesa tu na kuongezea your own touches and appearance utokelezee na mshono mkali Kitenge kinakuwa siku mpaka siku, wabunifu mbalimbali kutoka nchi za nje wamekuwa wakiumiza vichwa ya jinsi ya kubuni appearance za book. Did you apperceive Mishono ya vitambaa vya mpira grcom advice is one of the best accepted capacity today? We had taken this account on the internet we accede would be apparently the best adumbrative images.

Mishono mikali ya vitenge. I accept kuwa huwa mishono haitoshi kila siku tunapenda kutafuta vitu vipya na outlines mpya za kujaribu. Kwenye commitment Kente ndo huwa zinavaliwa sana anashona bibi harusi mtarajiwa na Bwana harusi mtarajiwa. A-line dresses task for about all shapes, yet the limit is the thing that influences these dresses to point out from the group.

Home african mishono ya vitenge ya kisasa ya wadada.

Viatu ‘vinavyokua’ pamoja na miguu ya watoto Kenya

By shweshwe trends Last updated Nov 28, Related Posts. Apr 10, You might also like.Jipatie Simple kitenge shoes upendeze Kipo poa sana na imara kwa ajili yako. Haya sasa,kwenu zaidi wadada Like Like. Like Liked by 1 person. You are commenting using your WordPress.

You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account.

Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Kiatu Cha ukweli sana kwa bei poa kabisa Jipatie simple raba yako mapema sana Bei zetu poa sanaaaaa Simple raba nzuri ya kitenge. Handbag,Pochi na viatu vya kitenge. Like this: Like Loading Tucheki kwa namba Like Like. Karibu sana ndugu yangu Like Like. Nimependa mitindo ya viatu sanasana tawatafuta whatup. Nimependa sana bizaa zenu na na kwa mfono viatu vinaenda kwa bei gani kwa jumla.

Tumeacha namba hapo kwa ajili ya mawasiliano Like Like.

viatu vipya vya wadada

Fill in your details below or click an icon to log in:. Email required Address never made public. Name required. Post was not sent - check your email addresses! Sorry, your blog cannot share posts by email. By continuing to use this website, you agree to their use. To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Like Like.

Like Liked by 1 person. Nimependa hand bay zenu. Hasa desing huu wa mtu wa mwisho rangi ya orange. Je tunaweza kuipata huku wa mkoani kama mtu anahitaji. Nimeipenda mishono ni mizuri ila mingi ni sketi sijaona magauni embu muweke magauni ya kimama yenye heshima.

Angalia viatu vya kisasa

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Like this: Like Loading Tanzania Like Like. Mko byeeee kwa kweli bomba Like Like. Nimeipenda sana mishono yenu Like Like. Mishono mazuri sana.

sendo za wadada

Ahsante,tunaomba mboreshe zaidi Like Like. Nzuri Like Like. Nimeipe mishono yenu mpo vizur hongeren! Nimepend fashion zenu mpo vizur sana. Je tunaweza kuipata huku wa mkoani kama mtu anahitaji Like Like.

Vos résultats: Mitindo Ya Viatu Vya Kisasa Hii Hapa Wadada mp3 musique ✖

Mishono Hebu ni mizuri sana!! Ila muweke na mishono ya magauni ya wa mama wanene!!! Nimeipenda mishono ni mizuri ila mingi ni sketi sijaona magauni embu muweke magauni ya kimama yenye heshima Like Like. Nitafute Like Like. Karibu sana Happy Like Like. Mitindo nimeipenda mizuri sana inaamasisha, bei zinaanzia ngapi? Mishono yenu inaamasisha ,hivyo endeleeni kubuni mingine mipya,I love it. Ok…karibu sana Like Like.Christian Louboutin Christian louboutin wamekua juu kwa mwaka huu na kuonesha ubunifu mkubwa katika kutengeneza viatu vya kike vyenye ubora na urembo ambao umefanya hata baadhi ya mastaa kuvivaa kwenye Red Carpet Events mbali mbali.

Kutoka kwa designer wa Malaysia Choo Yean, viatu vya jimmy choo vimepata umaarufu sana barani Europa vikiwa na mitindo mbali mbali ambayo huweza kuvaliwa ofisini, kwenye sherehe mbali mbali na hata viatu vya michezo. Prada ni kampuni ya muda mrefu sana katika ubunifu wa viatu vya wanawake na mpaka sasa inashikilia nafasi ya tatu katika mstari wa viatu vya ubunifu vya wanawake.

Prada zinasifika sana kutokana na hali yake ya kupenda kua na upekee kimuundo ambapo kila toleo jipya hua tofauti na toleo la awali yake. Kutoka Hispania, manolo ni moja wapo kati ya viatu vya kike vilivyopewa midani ya juu katika ubunifu mwaka Manolo ameweza kukamata zaidi soka la Ulaya pamoja na Amerika kusini akiwa na mitindo mingi zaidi kwa viatu vya harusi na pia kikazi.

Kutokea mwanzo wa karne ya 19, gucci imejikita kwenye kilele katika maswala ya mavazi kwa wanawake, wanaume na hata watoto. Kwa upande wa wanawake, Gucci imeweza kuleta bidhaa nyingi ambazo zimekua zikivaliwa na watu wa aina mbali mbali huku ikipewa promo kubwa na wasanii mbali mbali. Newer Post Older Post Home.


thoughts on “Viatu vipya vya wadada”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *